HABARI MAHUSUSI

Kikwete azidi kutoswa

Na Jacob Daffi 10 Aug 2011

WAZIRI wa Utawala Bora, Mathias Chikawe

WAZIRI wa Utawala Bora, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima wako mbioni kuingiza nchi katika mikataba mitatu mikubwa ya kimataifa kwa maslahi binafsi, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Samwel Sitta
Na Jabir Idrissa 10 Aug 2011

NIMEKUWA nikimsifu Samwel Sitta anaposimama kueleza, kujadili na kutetea anachokiamini. Huwa namsifu mwanasiasa huyu mwerevu kwa sababu huwa anaeleza kwa msisitizo, nguvu na mvuto mkubwa hicho anachokiamini.

 
LAMECK Nchemba Mwigulu
Na Mwandishi Wetu 10 Aug 2011

LAMECK Nchemba Mwigulu (33), ni mmoja wa vijana wanaotarajiwa kuwa hazina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika miaka ijayo. Ni mbunge wa CCM katika jimbo la Iramba Magharibi.

 
Dk. Didas Masaburi
Na Jabir Idrissa 10 Aug 2011

MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi ameliingiza Shirika la Usafiri la Dar es Salaam (UDA) katika mgogoro mkubwa wa kisheria kufuatia hatua yake ya kukaidi agizo la ofisi ya waziri mkuu, MwanaHALISI limebaini.

 
Kamati Kuu ya CCM
Na Joster Mwangulumbi 10 Aug 2011

MWALIMU Julius Nyerere aliwashangaa wananchi, baadhi yao wanachama wa CCM waliosema 1+1=3. Hesabu hiyo ilihusu muundo wa muungano.

 

MALUMBANO yanayosikika kati ya Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didus Masaburi na wabunge wa jiji, yanajenga taswira maalum katika taifa.

Nani anabeba kampuni ya Alamasi Mwadui? Tundu Lissu [2,407]
Makoroboi na mbilikimo wa utawala  Ndimara Tegambwage [2,168]
Bundi sasa amnyemelea Rais Kikwete  Saed Kubenea [2,147]
Wenye vituo vya mafuta ni wafadhili CCM, hawaguswi Nyaronyo Kicheere [2,008]
Hakuna aliyebora ndani ya CCM Joster Mwangulumbi [1,877]
Sasa Dk. Shein anatafuta mitaji kisiasa Jabir Idrissa [1,865]
Uhuru wetu umeliwa na CCM Mwandishi Maalum [1,820]
Serikali imejigeuza kondoo wa kafara Mbasha Asenga [1,714]
Polisi wanajituma au wanatumiwa? Ali Lityawi [1,672]
Mubarak amedhalilishwa? Zakaria Malangalila [1,683]
Kanuni za FIFA zinaipa haki Yanga, si TFF Joster Mwangulumbi [2,144]
21/08/2011