HABARI MAHUSUSI

Siri za ulegelege Serikali ya Kikwete

Na Alfred Lucas 24 Aug 2011

Rais Jakaya Kikwete

SIRI za ugoigoi na ulegelege wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete zimefichuka. Ni uchu wa urais, ambao umeibua makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraza la Mawaziri na Bunge, MwaHALISI limeelezwa.

 
John Shibuda
Na Sophia Yamola 24 Aug 2011

GAZETI la Chama Cha Mapinduzi (CCM) lilipoandika wiki iliyopita kwamba Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda “amejilipua” lilijua linachokifanya.

 
Daily News
Na Jacob Dafi 24 Aug 2011

MGOGORO mkubwa umeibuka katika kampuni ya magazeti ya serikali ya Daily News na HabariLeo ingawa haujatangazwa rasmi.

 
Peter  Noni
Na Jabir Idrissa 24 Aug 2011

SERIKALI iko mbioni kufunga mkataba wa kufua umeme ambao tayari umeonekana utakuwa na utata. Mkataba huo ni kati yake na kampuni ya Karpowership Limited ambayo inamilikiwa na Peter Noni.

 

HATIMAYE utawala wa miaka 42 wa Muamar Gadaffi wa Libya umeanguka. Waliopenda utawala wake wanalia na kusaga meno, lakini waliochukia na hasa wale walionyimwa haki na fursa mbalimbali wanasherehekea katika mitaa ya miji yote ukiwemo mji mkuu wa Tripoli.

31/08/2011