HABARI MAHUSUSI

Rais Kikwete chupuchupu

Na Saed Kubenea 31 Aug 2011

Rais Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete amenusurika kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, taarifa za ndani ya Bunge zimeeleza.

 
Nape Nnauye
Na Alfred Lucas 31 Aug 2011

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amejiingiza katika mradi wa kutafuta mrithi wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, imefahamika.

 
LEOPOLD Lucas Mahona
Na Alfred Lucas 31 Aug 2011

LEOPOLD Lucas Mahona, mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyepitishwa kuwania ubunge Jimbo la Igunga amesema tayari ana mtaji wa ushindi kutokana na kura alizopata katika uchaguzi mkuu mwaka jana.

 
Na Fred Okoth 31 Aug 2011

KAMPUNI ya African Barrick Gold, inayochimba dhahabu nchini, inatuhumiwa kutelekeza wafanyakazi wake waliopata maradhi hatari ya uti wa mgongo na mapafu wakiwa kazini.

 

KATIKA mdahalo wa hivi karibuni uliowakutanisha wawakilishi wa vyama vitatu – CCM, CHADEMA na CUF – mshiriki kutoka CCM alitonesha vidonda aliposema kwamba ana imani itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea inaweza kuwavusha Watanzania kwa miaka 50 mingine

Ulevi wa kisiasa uliyumbisha Bunge Joster Mwangulumbi [2,554]
Bunge sasa laweza kumchunguza Rais Kikwete? Saed Kubenea [2,540]
Wakosoaji wa Lissu wamepwaya Josephat Isango [2,504]
Mlengo wa kati kwa manufaa ya nani? Kondo Tutindaga [2,281]
Ngeleja anasubiri miujiza Joster Mwangulumbi [2,180]
Nani atasimamia nidhamu ndani ya CCM? Nyaronyo Kicheere [1,993]
Fikra za Makinda na jaribio la kamati teule Mbasha Asenga [1,976]
Urafiki wa serikali na njaa isiyoisha Ndimara Tegambwage [1,785]
Wawakilishi wairudisha SUC chuoni Jabir Idrissa [1,745]
Yanga wanachokoza hasira za TFF, FIFA Joster Mwangulumbi [2,013]
06/09/2011