HABARI MAHUSUSI

Rais Jakaya Kikwete dhaifu?

Na Saed Kubenea 14 Sep 2011

Rais Jakaya Kikwete
Ni taarifa za WikiLeaks
Adaiwa kumuogopa CDF

RAIS Jakaya Kikwete amezidi kuandamwa. Sasa anaitwa “dhaifu na anayetishwa na wasaidizi wake.”

Mtandao wa WikiLeaks unaoibua taarifa za siri za kibalozi duniani, umeandika kuwa Rais Kikwete aliwahi kumwogopa mkuu wake wa majeshi, Jenerali Mwita Waitara.

 
Nape Nnauye
Na Alfred Lucas 14 Sep 2011

NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa hali si shwari tena. Wanaojiita waasisi wa “mpango wa chama wa kujivua gamba” wameanza kutuhumiana kukivuruga chama, imefahamika.

 
AYOUB Hashim Jaku
Na Jabir Idrissa 14 Sep 2011

AYOUB Hashim Jaku, mbunge wa Bunge la Muungano (CCM), ni mmoja wa wanaotajwa kumiliki meli ya mv Spice Islander 1 iliyozama na kuangamiza maisha ya watu zaidi ya 250 visiwani Zanzibar.

 
Mv. Spice Islander
Na Ndimara Tegambwage 14 Sep 2011

NI kilio kilekile. Maisha yameangamia. Yaliyoikumba mv Bukoba ndiyo yameikumba Spice Islander katika Bahari ya Hindi.

 

MSIBA mzito umetukuta tena. Watu takribani 200 waliokuwa wakisafiri kutoka Unguja kwenda Wete, Pemba walifariki dunia baada ya meli ya Spice Islander 1 waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama.

Serikali ina ndoa na wakristo? Joster Mwangulumbi [3,300]
Mkapa amepanda mbigili Igunga; atapuuzwa Saed Kubenea [3,144]
Ya Kikwete, Bakwata na Kadhi Dk. Hassan Nassir [2,707]
Salva: Haya ndiyo madhara ya suti tano Joster Mwangulumbi [2,629]
Mazingira yamponza Kikwete Nyaronyo Kicheere [2,520]
Daily News kwazidi joto Alfred Lucas [2,486]
Tumekuwa hodari kuomboleza vifo Mbasha Asenga [2,377]
Watanzania watarajie nini Kamati ya Makani? Paschally Mayega [2,056]
Wenye dini ndio wauzaji mihadarati Fred Okoth [1,987]
Wao ndio wazembe wanamsingizia Mungu Jabir Idrissa [1,783]
Janga la Ajali nchini: Tusihubiriwe subira Kondo Tutindaga [1,778]
TFF imethubutu, imeweza, isonge mbele Mohamed Akida [1,678]
07/10/2011