HABARI MAHUSUSI

CHADEMA yang’ara

Na Saed Kubenea 21 Sep 2011

Joseph  Kashindye mgombea wa CHADEMA

UCHAGUZI mdogo katika jimbo la Igunga ukifanyika leo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitaibuka mshindi, uchunguzi uliofanywa na MwanaHALISI umeeleza.

 
Na Mwandishi Wetu 21 Sep 2011

ALIYENUSURIKA kwenye ajali ya meli Zanzibar anasema meli ilikuwa na abiria wengi kuliko waliotajwa na serikali.

 
Mgombea wa CCM, Dokta Kafumu
Na Ndimara Tegambwage 21 Sep 2011

Siyo bure! Kuna kitu wanataka. Kuna mafao wanapata au wanategemea.

 
Rostam Aziz
Na Mbasha Asenga 21 Sep 2011

WAHAFIDHINA wanaweza kutaharuki, kupiga kelele na hata kula nyama yako ukiwaambia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni genge. Hata hivyo, ukweli utabaki umesimama imara daima kwamba chama hiki sasa ni genge la walaghai

 

MWANZONI mwa miaka ya 1980 uchumi wa Tanzania uliyumba hali iliyosababisha baadhi ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo kuhodhi bidhaa ili waziuze kwa bei kubwa.

08/10/2011