HABARI MAHUSUSI

Igunga kwafukuta

Na Saed Kubenea 28 Sep 2011

FATUMA  Kimario, Mkuu wa wilaya ya Igunga
BAKWATA aibu tupu
Uchaguzi Jumapili hii
DC ageuka ‘bubu’

FATUMA Kimario, mkuu wa wilaya (DC) wa Igunga, siyo muislam, MwanaHALISI limeelezwa.

 
PIUS  Msekwa, Makamu mwenyekiti wa CCM
Na Navaya ole Ndaskoi 28 Sep 2011

PIUS Msekwa, Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, amejigamba kwamba yeye ni mtu safi.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Jacob Daffi 28 Sep 2011

AHADI kadhaa ambazo Rais Jakaya Kikwete alitoa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, sasa imethibitika haziwezi kutekelezeka, MwanaHALISI limeelezwa.

 
MSIMAMIZI wa Uchaguzi jimbo la Igunga, Magayane Protace
Na Ndimara Tegambwage 28 Sep 2011

NI wakati mwingine wa kupiga kura moja tu na kupata mbunge. Anayepiga kura mara mbili anajitafutia matatizo.

 

TUNAHIMIZA amani Igunga. Ndio wajibu wetu. Tuwasihi wananchi wa jimbo hili, linalokabiliwa na uchaguzi mdogo wa ubunge, wajizuie na vurugu.

09/10/2011