HABARI MAHUSUSI

Rostam, Lowassa hawafukuziki

Na Saed Kubenea 05 Oct 2011

ROSTAM Aziz, mwanasiasa, mfanyabiashara na mmoja wa maswahiba wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete, hafukuziki ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Jacob Daffi 05 Oct 2011

SAFARI hii mtandao wa WikiLeaks, mashuhuri kwa uibuaji taarifa nyingi za kibalozi umemgeukia Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu.

 
Na Saed Kubenea 05 Oct 2011

HATIMAYE Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imesajili tuzo ya Sh. 94 bilioni.

 
Na Alfred Lucas 05 Oct 2011

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema haikijashindwa katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga uliomalizika juzi Jumatatu bali kimeshinda uchaguzi huo.

 

UCHAGUZI mdogo wa ubunge, jimbo la Igunga, mkoani Tabora, wa Jumapili ya 2 Oktoba, 2011, umemalizika na kuwaachia Watanzania maswali mengi.

13/10/2011