HABARI MAHUSUSI

Tume ya Uchaguzi kitanzini Igunga

Na Saed Kubenea 12 Oct 2011

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaweza “kutiwa kitanzini” iwapo itathibitika kuwa ilichakachua daftari la wapigakura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimboni Igunga, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Jabir Idrissa 12 Oct 2011

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe yuko nchini India anakopatiwa matibabu ya afya yake. Amelazwa kwenye hospitali maarufu nchini India ya Indraprastha Apollo iliyoko mjini Chinai.

 
Na Jacob Daffi 12 Oct 2011

KAMATI ya baraza la madiwani iliyoundwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi kuchunguza ubinafsishaji wa shirila la usafiri jijini (UDA), kuvunjwa kwa bodi ya shirika hilo na kuuzwa kwa mali zake, imeagiza kufikishwa kwenye mkono wa sheria aliyekuwa meneja wa shirika hilo, Victor Millanzi.

 
Na Alfred Lucas 12 Oct 2011

“BILA ya katiba mpya itakayotupa mwongozo wa kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi, Tanzania tutachelewa kushuhudia uchaguzi huru na wa haki,” anasema Martina Kabisama.

 

BAADHI ya wapangaji wa nyumba za Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) hawataki kujaza fomu za utafiti zinazolenga kukusanya taarifa za wapangaji.

13/10/2011