HABARI MAHUSUSI

Kikwete maji ya shingo

Na Saed Kubenea 19 Oct 2011

RAIS Jakaya Kikwete amebakiwa na njia mbili tu kulinda nafasi yake katika Chama cha Mapinduzi (CCM).

 
Na Alfred Lucas 19 Oct 2011

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, hajui “kinachoendelea” eneo la kambi ya jeshi ya usafirishaji-Kunduchi (KTC), MwanaHALISI limegundua.

 
Na Saed Kubenea 19 Oct 2011

NI msimu wa malalamiko. Kila mmoja ni mlalamishi. Rais Jakaya Kikwete analalamika. Mtangulizi wake, Benjamin Mkapa analalamika.

 
Na Mbasha Asenga 19 Oct 2011

WENGI tunamjua nyani. Ni mnyama mwerevu. Kuna simulizi kwa ajili ya watoto inayosema hapo kale waliazimia kujenga nyumba. Walifikia hatua hiyo baada ya kuonja jeuri ya mvua usiku.

 
Na Alfred Lucas 19 Oct 2011

HASHIM Spunda Rungwe hajachuja kwa tambo. Anatamba bado angali na maarifa ya uongozi adilifu.

 

MIAKA mitatu iliyopita, gazeti hili lilifungiwa kwa siku 90 kwa madai ya kuchapisha habari ya uchochezi. Zilihusu njama za kumuangusha Rais Jakaya Kikwete.

Rostam Aziz anacheza kama Pele Nyaronyo Kicheere [3,922]
Nguza anasota, wauaji wanasamehewa Joster Ramadhani [3,800]
Nani amewaachia wauaji wa Kombe? Prof. Abdallah Saffari [3,757]
CCM ndio wavivu wa kufikiri Joster Mwangulumbi [2,392]
Tuliyofichwa yanasumbua nchi Paschally Mayega [2,049]
JK, sasa anachakachuliwa? Kondo Tutindaga [1,903]
Wafugaji Kilosa waapa: Hatuporwi mifugo tena Yusuf Aboud [1,886]
Miaka 50 Oyee: Tutaimbaje wimbo huu? Ndimara Tegambwage [1,875]
Tume ya meli na kizungumkuti cha takwimu Jabir Idrissa [1,787]
Mwanamke aliyeshinda Nobel [1,786]
Tatizo si makocha ni mfumo mbovu Elius Kambili [1,914]
21/10/2011