HABARI MAHUSUSI

Kabila amuangikia Kikwete

Na Jabir Idrissa 26 Oct 2011

Rais Kabila na Rais Kikwete

BALOZI wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) ameshindwa kuthibitisha iwapo nchi yake imeomba majeshi kutoka Tanzania.

 
Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel John  Sitta
Na Fred Okoth 26 Oct 2011

MKURUGENZI mtendaji wa gazeti la MwanaHALISI, Saed Kubenea, amekana tuhuma kwamba gazeti lake “limenunuliwa na watuhumiwa wa ufisadi nchini.”

 
MBUNGE  wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangala
Na Mwandishi Wetu 26 Oct 2011

MBUNGE wa Nzega, mkoani Tabora, Dk. Hamis Kigwangala amewashtua mamia ya wananchi aliposema: “Naweza kujiuzulu ubunge wakati wowote”.

 
Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime, John Henjewele
Na Nyaronyo Mwita Kicheere 26 Oct 2011

KWA Mheshimiwa sana, Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime, John Henjewele; Salaam.

 

SAMWEL Sitta ametuhumu gazeti hili, kuwa linatumiwa na watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini ili “kumchafua” yeye na wenzake.

Usiyoyajua juu ya Gaddafi Mwandishi Maalum [4,139]
Ni JK anayetesa taifa, si urais 2015 Kondo Tutindaga [2,594]
NATO wahusishwa na mauaji ya Gaddafi Zakaria Malangalila [2,400]
Uwekezaji Tanzania ni wa kuua wazawa Joster Mwangulumbi [2,142]
Wanamlilia Gaddafi au fedha zake? Mbasha Asenga [2,115]
Gaddafi ametoka, SUK wao watafuta kula Jabir Idrissa [1,926]
SMZ yalazimisha mradi wa mafao Jabir Idrissa [1,752]
Viongozi wetu wasijidanganye Joster Mwangulumbi [1,680]
Hotuba ya NTC yazusha hofu Libya [2,274]
Wambura amejifungia duniani, mbinguni Joster Mwangulumbi [2,193]
31/10/2011