HABARI MAHUSUSI

Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa

Na Jacob Daffi 02 Nov 2011

Edward Lowassa

VIONGOZI waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharula wa Richmond bado wanaendelea kung’ang’aniwa kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Nape Nnauye
Na Alfred Lucas 02 Nov 2011

MKUTANO ulioitishwa na viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi Jumatatu kama jitihada za kutafuta ufumbuzi wa mgawanyiko mkubwa unaokikabili chama hicho umeshindwa kujenga msingi wa usuluhishi, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Fred Okoth 02 Nov 2011

SIKU ya Kongamano la kuadhimisha miaka 50 ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 20 Oktoba 2011, ilikuwa siku ya msukosuko kwa watu wawili maarufu – Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais Jakaya Kikwete.

 
STEVEN Wassira
Na Kondo Tutindaga 02 Nov 2011

STEVEN Wassira amejitosa kwenye mgogoro wa uongozi ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM). Ameingia kutafuta upatanishi. Anasema kazi hiyo anaiweza. Anaimudu na inamfaa.

 

MIGOGORO ya ardhi inaongezeka nchini. Wananchi wanajikuta hawana haki ya kutumia ardhi ndani ya nchi yao huru.

12/11/2011