HABARI MAHUSUSI

NCCR kutumika kuvuruga CHADEMA

Na Saed Kubenea 09 Nov 2011

Zitto Kabwe ahusishwa
Kafulila naye atajwa

ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini anayeendelea kupata matibabu nje ya nchi, ametajwa katika njama za kuhujumu chama chake.

 
Na Mwandishi Wetu 09 Nov 2011

MBUNGE wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Joseph Machali, ameibuka na kusema ndani ya chama chake hakuna mgogoro wa uongozi.

 
Na Kondo Tutindaga 09 Nov 2011

WAZIRI Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba sasa ameibua mjadala mpya. Akiongea kwenye hafla ya uzinduzi wa mpango wa miaka mitano wa chama cha majaji wastaafu, Jaji Warioba alisema mambo mawili.

 
Na Mwandishi Wetu 09 Nov 2011

VYAMA vya siasa nchini havijapewa ruzuku kutoka serikalini, MwanaHALISI limeelezwa.

 

WATANZANIA wanataka kuongoza mchakato utakaohitimishwa kwa kupata katiba waliyoiridhia. Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza katika historia ya taifa.

Tunarudishwa enzi za Sodoma na Gomora Joster Mwangulumbi [2,189]
Ole wao wasioona alama za nyakati Paschally Mayega [2,145]
Utawala wa vitisho, risasi Joster Mwangulumbi [1,835]
Ubingwa wa kulalamika hauleti maendeleo Nyaronyo Kicheere [1,783]
Mbinga wazidi kunywa sumu ya Lunyere Albano Midelo [1,760]
Mzigo wa makundi wamuelemea Kikwete Saed Kubenea [1,745]
Kikwete na mtego wa Jairo, Pinda Mbasha Asenga [1,573]
Mwaka mmoja SUK, ‘nidhamu mbovu kazini’ Jabir Idrissa [1,489]
Kandoro: Usikamate mabinti zetu Ndimara Tegambwage [1,479]
Mauaji ya Gaddafi ni kazi ya ubeberu Marie Shaba [1,934]
Fedha za wakubwa zaanza kukamatwa Zakaria Malangalila [1,689]
FIFA yaipa klabu jeuri ya kuamua Elius Kambili [1,362]
08/12/2011