HABARI MAHUSUSI

David Jairo akaangwa

Na Alfred Lucas 16 Nov 2011

RIPOTI ya Kamati Teule ya Bunge imemtia hatiani David Jairo, Katibu Mkuu aliyetolewa Wizara ya Nishati na Madini, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Jabir Idrissa 16 Nov 2011

BUNGE kama limepasuliwa mapande; serikali imekaidi maoni ya wananchi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimkasirikia Rais Jakaya Kikwete kutii “kupita kiasi” matakwa ya Zanzibar kuhusu mapendekezo ya muswada wa sheria ya marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano.

 
Na Mwandishi Maalum 16 Nov 2011

WAKAZI wa Jiji la Mbeya kwa mara ya kwanza wiki iliyopita walishuhudia filamu ya aina yake. Ilikuwa kama kushuhudia mapambano kupitia luninga, mapambano ya wenye silaha na wasio na silaha.

 
Na Saed Kubenea 16 Nov 2011

TUTAKE tusitake, taifa lililozoea kuitwa kisiwa cha amani na utulivu, sasa liko vitani. Ni vita kati ya utu na udhalimu.

 

NI dhahiri sasa Tanzania inahitaji kura ya maoni ili kuamua mustakabali wa Muungano.

20/11/2011