HABARI MAHUSUSI

Kikwete akaliwa kooni

Na Saed Kubenea 14 Dec 2011

Naye atakiwa kujiuzulu
Waraka mzito wavuja
CHADEMA yaitwa ‘mchawi’

RAIS Jakaya Kikwete amekaliwa kooni. Wakati chama chake kinakabiliwa na wimbi la kukimbiwa na wanachama na viongozi, swahiba wake anashikilia kuwa wenye “tuhuma za ufisadi” wajiuzulu kama yeye.

 
Na Saed Kubenea 21 Dec 2011

RAIS Jakaya Kikwete ametunuku nishani 57 kwa alioita, “Watu waliotoa mchango mbalimbali ya kutukuka katika nchi kwenye miaka 50 ya uhuru wake. Nishati hizo ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwenge wa Uhuru daraja la kwanza na Mwenge wa uhuru daraja la pili.

 
Na Alfred Lucas 21 Dec 2011

SERIKALI imethibitisha kukabiliwa na ukata baada ya sasa kuanza kuwakopa baadhi ya watumishi wake kupitia mishahara ya kila mwezi, MwanaHALISI imegundua.

 
Na Ndimara Tegambwage 21 Dec 2011

MACHO na masikio ya wote wanaofuatilia nyendo za vyombo vya habari, yameelekezwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

WATANZANIA wa Bara wameanza miaka mingine 50 ya taifa lao wakiwa na uchumi katika familia zao na serikali yao. Wanajua moja ya malengo makuu ya kudai uhuru ilikuwa ni kumilikisha njia kuu za uchumi kwao. Wakati huo zikimilikiwa na wakoloni na mawakala wao – makampuni ya barani Ulaya walikotoka.

21/12/2011