HABARI MAHUSUSI

Serikali hoi kifedha

Na Saed Kubenea 14 Dec 2011

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete iko taabani kifedha. Haina uwezo wa kuajiri watumishi wapya wala kupandisha vyeo wale waliopo, MwanaHALISI limegundua.

 
Na Alfred Lucas 14 Dec 2011

UFA ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), umezidi kuongezeka. Wakati idara ya usalama ya chama hicho ikisema Hamad Rashid Mohammed, anatumiwa na Edward Lowassa katika mbio zake za kutafuta uongozi, Maalim Seif Shariff Hamad, anasema yeye mwenyewe ndiye anayesaka urais.

 
Na Saed Kubenea 14 Dec 2011

MJADALA wa kutafuta mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), unazidi kupamba moto. Jarida la Kimataifa la Uchunguzi nchini Uingereza (Economic Intelligence), limesema mrithi wa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2015 atatoka Tanzania Zanzibar.

 
Na Kondo Tutindaga 14 Dec 2011

WIMBI la migogoro katika vyama vya siasa nchini limezidi kutanda. Inavyoonekana kwa sasa ni kuwa hakuna chama chenye ubavu wa kumcheka mwenzake. Kwa hatua hii, ni vigumu kulisemea kwa usahihi. Kwamba huku dalili ya kukua kwa demokrasia ndani ya vyama au kukua kwa udikteta.

 

KWA muda sasa, Watanzania wameshuhudia mivutano ikistawi katika vyama vya siasa nchini. Awali mivutano ilionekana kama kitu chema pale inapotokana na tofauti za kifikra kwa wafuasi wake.

21/12/2011