HABARI MAHUSUSI

Hamad kufukuzwa CUF

Na Saed Kubenea 28 Dec 2011

ALIYEJIAPIZA kumng’oa Maalim Seif Shariff Hamad ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), sasa kufukuzwa uanachama, imefahamika.

 
Na Mwandishi Maalum 28 Dec 2011

MOJA ya sababu za baadhi ya watu kutaka katiba mpya, ni madaraka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano. Ubaya wa madaraka haya, ni kule kuyatumia kulinda maslahi ya watawala

 
Na Saed Kubenea 28 Dec 2011

RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kukabidhi usimamizi wa masuala muhimu ya umma kwa watu waliozeeka, waliochoka na, au wanaokabiliwa na shutuma, tuhuma na lawama za kushindwa kuwajibika huko walikotoka.

 
Na Alfred Lucas 28 Dec 2011

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), DK. Agness Kijazi, ametahadharisha kuwa mvua za masika zinazotarajiwa kuanza kunyesha mapema mwakani, zitakuwa kubwa na huenda zikaleta maafa zaidi ya yaliyotokea wiki iliyopita.

 

GHARIKA ya mafuriko iliyotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni imeacha mafunzo mengi.

Mchwa halmashauri Kahama unatisha Ali Lityawi [4,547]
CCM ina shahada ya kuzomea Joster Mwangulumbi [2,669]
Rais na serikali wanalidharau Bunge? Kondo Tutindaga [2,167]
Si uchochezi, ni hofu tu ya watawala Joster Mwangulumbi [2,161]
CUF inao au haina mgogoro? Jabir Idrissa [2,125]
Uongozi ukifilisika nchi inaanguka Paschally Mayega [1,998]
Kukamata, kushitaki waandishi hakusaidii Nyaronyo Kicheere [1,807]
Mafuriko Dar, aibu ya serikali Rugemeleza Nshala [1,802]
Mafuriko: Wahame, wasihame, wahame Ndimara Tegambwage [1,697]
SUK lazima itafune jongoo 2012 Jabir Idrissa [1,593]
Mambo yamwendea kombo Putin [2,367]
Democrats wachimba ushindi wa Obama [2,053]
Vita vyanukia Kongo [2,033]
Mwaka 2011 ulikuwa wa taabu michezoni Elius Kambili [1,609]
30/12/2011