HABARI MAHUSUSI

Kikwete aingia tope jipya

Na Saed Kubenea 04 Jan 2012

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete yaweza kufikishwa mahakamani kwa mara nyingine. Mara hii kwa kushindwa kutoa malipo yanayohusiana na uzalishaji nishati ya umeme.

 
Na Saed Kubenea 04 Jan 2012

KIKAO cha dharura cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), kimeitishwa mjini Zanzibar leo (4 Junuari 2012) ili kubariki “mradi” wa kumvua uanachama mbunge wa Wawi kisiwani Pemba, Hamad Rashid Mohammed.

 
Na Jabir Idrissa 04 Jan 2012

MGOGORO unaofukuta kati ya katibu mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad na mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid Mohamed, chimbuko lake, ni mbio za urais wa Zanzibar mwaka 2015, imefahamika.

 
Na Mwandishi Wetu 04 Jan 2012

John POMBE Magufuli amewaambia wananchi wanaotumia vivuko vya serikali kwenye mkono wa Bahari ya Hindi, kutoka na kuingia Kigamboni jijini Dar es Salaam, wameze “dawa chungu.”

 

KWA Mtanzania wa kawaida, mwaka 2012 ni mtihani mkubwa kwake. Siyo tu kwamba hatarajii mabadiliko ya maana kwa maisha yake, bali kwa bahati mbaya sana, anaogopa kupigika zaidi.

19/01/2012