HABARI MAHUSUSI

‘JK anavunja Katiba’

Na Jabir Idrissa 11 Jan 2012

DK. Willibrod Slaa amemtuhumu Rais Jakaya Kikwete kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoapa kuilinda.

 
Na Mwandishi Maalum 11 Jan 2012

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe amenukuliwa akisema Maalim Seif Shariff Hamad alishinda uchaguzi mkuu wa 2010.

 
Na Joster Mwangulumbi 11 Jan 2012

KIONGOZI akitumia lugha nzuri husifiwa sana kwa ushawishi; lakini akitumia lugha inayokera, hakopeshwi, huzomewa.

 
Na Saed Kubenea 11 Jan 2012

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, sasa ameshindwa wajibu wake na anaonekana anaomba kufutwa kazi.

 

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza usajili wa wananchi wa Tanzania. Itasajili pia wageni wanaoishi nchini.

19/01/2012