HABARI MAHUSUSI

Nchi kuingia gizani

Na Saed Kubenea 18 Jan 2012

TANESCO sasa hoi kifedha

UWEZO wa Shirika la Taifa la Umeme (TANESCO), kukidhi mahitaji ya nishati hiyo ni mdogo na nchi inaweza kuingia gizani wakati wowote, MwanaHALISI limegundua.

 
Na Jacob Daffi 18 Jan 2012

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kutaka urais mwaka 2015, wameanza mbio katika nyumba za ibada,  MwanaHALISI imebaini.

 
Na Saed Kubenea 18 Jan 2012

EDWARD Lowassa, yule aliyejiuzulu nafasi ya waziri mkuu kutokana na kashifa ya kuingiza nchi kwenye mkataba wa kinyonyaji wa makampuni ya Richmond/Dowans, sasa anasaka utakaso.

 
Na Mbasha Asenga 18 Jan 2012

HUU ni mwaka wa vioja na mbwembwe. Watanzania wajiandae kuona mengi; kila aina ya mbwembwe za kisiasa za kujikweza kwa nia moja tu, kujijenga kisiasa.

 

WAKATI wananchi wanahamu ya elimu kuhusu masuala ya katiba, mawaziri, viongozi waandamizi na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamegeuka shetani.

25/01/2012