HABARI MAHUSUSI

CHADEMA yamtega tena JK

Na Jacob Daffi 25 Jan 2012

RAIS Jakaya Kikwete aweza kukitosa tena Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu uundwaji wa katiba mpya, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Joster Mwangulumbi 25 Jan 2012

WAZAZI wapendwa salaam sana.

Lengo la barua hii ni kuwaarifu kwamba mimi, mke wangu na watoto, sote ni wazima wa afya.

 
Na Saed Kubenea 25 Jan 2012

SERIKALI imekana kuidhinisha mpango wa shirika la fedha duniani (IMF) unaotaka kuweka masharti ya ukopaji na urejeshaji fedha katika shirika hilo, imefahamika.

 
Na Saed Kubenea 25 Jan 2012

GAZETI la MwanaHALISI limeingia matatani kwa mara nyingine tena baada ya kuchapisha taarifa katika toleo lililopitaisemayo, “nchi kuingia gizani.”

 

HATUAMINI kamwe kama serikali haina fedha za kuipa mahakama ili iendeshe kesi zilizofunguliwa na wabunge walioshindwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2010.

Jussa: Zanzibar ni koloni la Tanzania? Mbasha Asenga [2,045]
NSSF na ‘karata tatu’ kwa fedha za wafanyakazi Saed Kubenea [1,774]
Mpendazoe asema: Tutashinda Joster Mwangulumbi [1,747]
Tusipuuze maneno ya Ndugai Kondo Tutindaga [1,620]
Maalim Seif anashia Muungano Rugemeleza Nshala [1,609]
Timuatimua ya vyama inaua demokrasia Mwandishi Maalum [1,501]
09/02/2012