HABARI MAHUSUSI

Kikwete asaliti wabunge CCM

Na Saed Kubenea 01 Feb 2012

MSIMAMO wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu marekebisho ya sheria ya katiba sasa uko njiapanda, imefahamika jijini Dar es Salaam.

 
Na Mwandishi Wetu 01 Feb 2012

WATOTO wawili wa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu waliotangazwa kama wadaiwa sugu wa mkopo wa elimu ya juu uliotolewa vipindi tofauti kati ya mwaka 1994 na 2009 katika vyuo mbalimbali nchini.

 
Na Saed Kubenea 01 Feb 2012

KUMBE kuwa muwazi ni ujasiri tu; siyo kinga kwa aliyekusudia kukuangamiza. Hivi ndivyo ilivyo kwa gazeti hili – MwanaHALISI.

 
Na Alfred Lucas 01 Feb 2012

KAULI ya Zitto Kabwe kwamba wazo la chama chake kumuona Rais Jakaya Kikwete juu ya mabadiliko ya sheria ya katiba mpya lilitolewa na Regia Mtema, imepingwa.

 

TATIZO kubwa la serikali iliyopo madarakani ni kutojielewa. Haitambui wajibu wake kwa umma. Na pale inapotambua, haijali kuutekeleza.

09/02/2012