HABARI MAHUSUSI

Serikali chanzo cha migomo – JK

Na Jabir Idrissa 14 Mar 2012

RAIS Jakaya Kikwete amethibitisha kwamba serikali yake ndiyo chanzo cha malalamiko na hatimaye migomo ya madaktari iliyogharimu maisha.

 
Na Kondo Tutindaga 14 Mar 2012

MCHAKATO wa kumpata mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki umeacha makovu ya hatari katika mtandao wa chama hicho.

 
Na Saed Kubenea 14 Mar 2012

MADAKTARI wamesema kuwa wamekubali kurejea kazini kwa kuwa wana imani na Rais Jakaya Kikwete; kwamba atatatua matatizo waliyomweleza.

 
Na Mwandishi Wetu 14 Mar 2012

NCHI inaweza kuingia gizani wakati wowote kuanzia sasa, kutokana na kupungua kwa uzalishaji umeme, MwanaHALISI limeelezwa.

 

TATIZO kubwa linaloitesa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu sasa, ni utovu wa nidhamu kwa watendaji wake wengi.

27/03/2012