HABARI MAHUSUSI

Lowassa atuma shushushu CHADEMA

Na Alfred Lucas 18 Apr 2012

HATUA ya mfuasi mkuu wa Edward Lowassa kuhama CCM na kujiunga CHADEMA, imetafsiriwa kuwa njia ya Lowassa “kutuma shushushu” katika chama cha mageuzi.

 
Na Mwandishi Wetu 18 Apr 2012

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) uko hatarini kufilisika na kupoteza fedha za wanachama wake.

 
Na Joster Mwangulumbi 18 Apr 2012

TANGU ulipomalizika uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, makala nyingi zinaandikwa kuhusu matusi aliyoporomosha kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Livingstone Lusinde.

 
Na Mwandishi Wetu 18 Apr 2012

JAJI Joseph Warioba anaweza kukwama kuunganisha tume ya kuratibu maoni ya katiba mpya ambayo ameteuliwa kuiongoza, MwanaHALISI linaweza kuripoti.

 
Na Jacob Daffi 18 Apr 2012

ASKARI 15 – wawili wakiwa kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na 13 wakiwa wanamgambo, ndio wanatuhumiwa kuua raia watano kwa kuwapiga risasi za moto.

 

SERIKALI inaendelea kufedheheka tu. Viongozi wake wakuu wameapa kutogeuka nyuma ili kusikiliza vilio vya wananchi wanaopinga tabia mbaya ya serikali kutumia fedha zao vibaya.

Mkapa anasimangwa kwa mafao haya [5,004]
Kapteni Komba, epusha fedheha hii Ndimara Tegambwage [2,573]
Mkapa kubali makosa uliyofanya M. M. Mwanakijiji [2,304]
CCM inanufaika na umaskini wetu Nyaronyo Kicheere [2,097]
Kikwete ana Katiba yake kichwani? Kondo Tutindaga [2,095]
Uhalali serikali ya JK ni wa kura tu? Joster Mwangulumbi [1,866]
Nassari: Hoja ya ardhi ilinipa ubunge Alfred Lucas [1,663]
Watawala watashangaa kura ya katiba Jabir Idrissa [1,585]
Wanatutapeli hata elimu Joster Mwangulumbi [1,533]
23/04/2012