HABARI MAHUSUSI

Gavana BoT akana ufisadi

Na Alfred Lucas 30 May 2012

Profesa Benno Ndullu

GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndullu amekana matumizi ya kifisadi ya Sh. 760 bilioni kwa mwaka mmoja katika safari za ndani na nje ya nchi.

 
Kamishna Msaidizi Mwandamizi  wa Polisi, (SACP), Simon Siro
Na Nyaronyo Kicheere 30 May 2012

MKUU wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, (SACP), Simon Siro, labda si Mtanzania. Nina maana anaweza kuwa raia wa kigeni. Nitaeleza.

 
John Shibuda
Na Kondo Tutindaga 30 May 2012

NIMEJIULIZA mara kadhaa kumjadili John Shibuda, mbunge wa Maswa Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demekarsia na Maendeleo (CHADEMA).

 
Ridhiwani Kikwete
Na Jabir Idrissa 30 May 2012

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekiri kudhoofika na kushindwa hata kufikia wanachama wake matawini, MwanaHALISI limegundua.

 

MOJA ya majukumu muhimu ambayo Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein aliahidi kuyasimamia kama kiongozi wa nchi, wakati akizindua baraza la wawakilishi, ni kulinda amani na utulivu wa nchi.

31/07/2012