HABARI MAHUSUSI

‘Njama za mauaji’ zafichuka

Na Jabir Idrissa 18 Jul 2012

NAIBU Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS), Jack Zoka

NAIBU Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS), Jack Zoka ametajwa kuwa miongoni mwa wanaopanga mkakati wa kuangamiza wanaodaiwa kuikosoa serikali, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Dk. Steven Ulimboka
Na Mbasha Asenga 18 Jul 2012

“TUMDHURU Dk. Steven Ulimboka ili serikali ipate nini,” ni utetezi mwepesi wa Serikali juu kutuhumiwa kuhusika kwake na kutekwa na kisha kupigwa nusu ya kufa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya Madaktari, Steven Ulimboka, ambaye sasa anatibiwa nje ya nchi.

 
Stendi ya mabasi Moshi
Na Saed Kubenea 18 Jul 2012

ALUU Segamba, katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Moshi Mjini, amekana kile ambacho wengi wameita hujuma kwa wananchi wanaotumia usafiri wa mabasi katika manispaa ya Moshi.

 

VIONGOZI wa Serikali wakitaka wanaweza kujidanganya. Ila hawana haki ya kudanganya umma.

Posho serikalini balaa Jacob Daffi [5,505]
Dk. Ulimboka asimulia alivyochungulia kaburi [3,702]
Nani anampotosha Kikwete? Kondo Tutindaga [2,466]
Rubada: Umeme wa uhakika 2014 Alfred Lucas [2,390]
Sisiem wamenasa penyewe Joster Mwangulumbi [2,381]
Naomba uanachama wa CCM Nyaronyo Kicheere [2,135]
Chunga unaposikia CCM inalia rafu Jabir Idrissa [1,939]
Rais mpya Misri azua mvutano [1,779]
31/07/2012