HABARI MAHUSUSI

Zengwe kukwamisha Lowasa laja

Na Yusuf Aboud 27 May 2013

Edward Lowassa

MKAKATI wa Edward Lowassa kutaka kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huenda ukakwama baada ya baadhi ya vigogo ndani ya chama hicho kupanga mkakati wa kutaka kumfukuza, imefahamika.

 
Na Mwandishi Wetu 27 May 2013

WIKI mbili zilizopita, Maaskofu Peter Kitula (CCT), Tarcisius Ngalalekumtwa (TEC), David Mwasota (PCT) na Mark Malekana (SDA) –walikutana na Rais Jakaya Kikwete, ikulu jijini Dar es Salaam. Kabla ya mazungumzo na rais, viongozi walimsomea tamko ambalo linachapishwa hapa chini:  

 
Mwigulu Nchemba
Na Mwandishi Wetu 27 May 2013

TAARIFA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa iongeze nguvu kwa chama hicho na serikali katika mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni, imeangukia mikononi mwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 
Na Mwandishi Wetu 27 May 2013

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imefumua pango la ufisadi katika Wizara ya Utalii na Maliasili na kutuhumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadhi ya viongozi wake, kutumia sera ya uporaji wa maliasili za taifa, udhalilishaji wafugaji na ufukarishaji Wamaasai katika Ngorongoro na Loliondo.

 
17/09/2013