HABARI MAHUSUSI

Mafisadi wamtishia Kikwete

Na Jabir Idrissa 19 Mar 2008

Rais  Jakaya Kikwete
Waapa kuanika 'vimemo'
Spika Sitta asalimu amri

WATUHUMIWA wa wizi wa mabilioni ya shilingi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wameapa kudhalilisha serikali pindi watakapofikishwa mahakamani.

 
Na Saed Kubenea 19 Mar 2008

SPIKA wa Bunge, Samwel Sitta, anamsubiri aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Edward Lowassa, ili kumjumuisha katika moja ya kamati za kudumu za Bunge, MwanaHALISI limeambiwa.

 
JWTZ Komoro
Na Saed Kubenea 19 Mar 2008

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepeleka majeshi nchini Comoro ili "kumng'oa" Kanali Mohamed Bacar ambaye anadaiwa kung'ang'ania kwenye madaraka katika kisiwa cha Anjouan

 
Dk. Emmanuel Nchimbi
Na Ndimara Tegambwage 19 Mar 2008

KAMA kuna kiongozi mwenye bahati kubwa ni Dk. Emmanuel Nchimbi, Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

 
11/04/2010