HABARI MAHUSUSI

Msuya amvaa Kikwete

Na Mwandishi Wetu 01 Apr 2008

Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa David Msuya
Ataka "mafisadi" wafukuzwe uanachama
Makongoro Nyerere awasha moto NEC

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) "kimefunga ndoa" na mafisadi kwa kukataa kupokea ushauri wa kuwafukuza kutoka chama hicho.

 
Waziri wa Fedha  Mustafa Mkullo
Na Isaac Kimweri 01 Apr 2008

KAULI ya Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo, kwamba eti nchi wahisani wanawasilikiliza sana wapinzani kwa sababu wanao marafiki wao wanaowaambia mambo mengi ya humu nchini, ni kauli ya kushangaza.

 
Katibu  Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba
Na Saed Kubenea 01 Apr 2008

JUMAMOSI iliyopita, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, alinukuliwa akitetea chama chake kwamba hakina makundi.

 
Dk. Ng'wandu sasa apaa Jabir Idrissa [1,920]
Wabunge na gome la ubinafsi Mbasha Asenga [1,593]
Kila taaluma ina "makanjanja" Alloyce Komba [1,553]
Mgogoro mpya wafukuta Z'bar Saed Kubenea [1,474]
Mulee ameshinda anazomewa, tumfanyeje Maximo? [1,597]
11/04/2010