HABARI MAHUSUSI

Chenge kufuru tupu, amiliki bilioni 25

Na Saed Kubenea 15 Apr 2008

Andrew Chenge
Amchotea kigogo bilioni moja
Amwashia indiketa Ben Mkapa

WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge anaogelea katika utajiri wa zaidi ya Sh. 25 bilioni zenye utata huku Rais Jakaya Kikwete akiendelea kumkumbatia, MwanaHALISI limegundua.

 
Rostam Aziz
Na Mwandishi Wetu 15 Apr 2008

MBUNGE wa Igunga (CCM), Rostam Aziz, ametishia kujiuzulu ubunge kutokana na hatua ya Kamati ya Uongozi ya Bunge kumzuia kuwasilisha hoja yake bungeni, MwanaHALISI limedokezwa.

 
Andrew Chenge
Na Mbasha Asenga 15 Apr 2008

YAPO mambo mengi aliyozushiwa Andrew Chenge, Waziri wa Miundombinu ambayo mengi watu waliyaona kama mambo ya mtaani tu. Kwa mfano, niliwahi kusikia Chenge alikuwa akisafirisha suti zake kwa DHL kwenda London, Uingereza kufuliwa.

 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Na Mwandishi Maalum 15 Apr 2008

SERIKALI imepandikiza chuki. Wiki iliyopita, ilitangaza kulipia mishahara ya wafanyakazi wa Kampuni ya Reli (TRL), ambao walishindwa kulipwa na muwekezaji aliyekodishwa shirika hilo.

 

MUAFAKA uliotarajiwa kuwa mwanzo wa hatua muhimu za kuleta ufumbuzi wa kudumu wa mgogoro wa kisiasa Zanzibar, umekwama.

Sura mbili za Rostam Aziz Saed Kubenea [1,752]
Meremeta, Serikali, na Mafisadi George Marato [1,747]
Tofauti ya baba na mwana Jabir Idrissa [1,614]
James Lembeli: Natumikia wapigakura [1,579]
Kisa cha rais na wake ndugu Yusuf Aboud [1,398]
11/04/2010