HABARI MAHUSUSI

Kikwete amtosa Chenge kujinusuru

Na Saed Kubenea 22 Apr 2008

Andrew Chenge
Pinda alishinikiza 'asulubiwe!'
Wabunge waliteta kumfukuza

SIRI ya kumtosa bilionea Andrew Chenge ni "kunusuru hadhi ya serikali inayotota" katika kipindi cha kilio cha wananchi dhidi ya ufisadi, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Andrew Chenge
Na Saed Kubenea 22 Apr 2008

MwanaHALISI toleo la 20 – 26 Februari mwaka huu, lilichapisha makala ifuatayo juu ya wateule wa Rais Jakaya Kikwete katika baraza lake jipya la mawaziri chini ya kichwa "Wasioteulika ndio wameteuliwa." Mmoja wao alikuwa Andrew Chenge.

 
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
Na Saed Kubenea 22 Apr 2008

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa huenda akahojiwa na Bunge kuhusiana na mkataba kati ya serikali na kampuni ya makontena TICTS, MwanaHALISI imeelezwa.

 
Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
Na Jabir Idrissa 22 Apr 2008

NI majonzi juu ya majonzi. Familia ya Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ambayo ilikuwa inabeba majonzi kwa mwenye kaya kukabiliwa na shitaka la kuua bila kukusudia, sasa imetota katika majonzi mapya.

 

WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge amejiuzulu. Inajulikana kilichomsukuma hadi kuchukua hatua hiyo, ni tuhuma za kujilimbikizia utajiri kwa njia zisizofaa.

11/04/2010