HABARI MAHUSUSI

Genge laundwa kumkabili Kikwete

Na Mwandishi Wetu 06 May 2008

Rais Jakaya Kikwete
Lahofia mabadiliko serikalini
Yeye ajiandaa kuwakabili

GENGE la watuhumiwa wa ufisadi nchini linajiandaa kukabiliana na utawala wa Rais Jakaya Kikwete ili kuudhoofisha kabisa, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mchungaji Dk.  Getrude Rwakatare
Na Joseph Mihangwa 13 May 2008

TUKIO la Mussa Ramadhani (18), anayedaiwa kukutwa na kichwa cha binadamu cha mtoto wa miaka mitatu, ni dhahiri limeanzisha mjadala.

 
Waziri Sophia Simba
Na Boniphace Kamalamo 06 May 2008

KUNA kila dalili kwamba serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Wananchi wanauliza, "Mbona serikali yetu inakwenda kama imechukuliwa na msukule!"

 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya  Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame
Na Mwandishi Wetu 06 May 2008

NILIMUONA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame, akichekacheka na kutabasamu, huku amefunga mikono, mbele ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, wiki moja baada ya uchaguzi wa nchi hiyo mwezi uliopita.

 

SERIKALI imekiri kwamba inaibiwa mabilioni ya fedha kila mwaka kutokana na wamiliki wa makampuni ya madini nchini kuandaa ripoti mbili tofauti.

Serikali ilete ajenda yake Mbasha Asenga [1,886]
Wafugaji wa Mbarali wametekelezwa? Ndimi Jidawaya Kazamoyo [1,738]
Shamhuna na kadhia ya uhuru wa habari Jabir Idrissa [1,729]
Mafisadi wasionewe huruma David Kafulila [1,657]
Serikali kikwazo vita vya ufisadi Stanislaus Kirobo [1,612]
09/04/2010